Saturday , 26th Sep , 2015

Star mkongwe wa Bongo Flava Daz Baba ambaye anajivunia uhalisia zaidi katika kufanya maisha yake ya kila siku, amesema kuwa wasanii wengi wanaishi maisha ya kuigiza kuongopea watu, kitu ambacho hakina maana.

Daz Baba

Daz ametoa maneno hayo akijitolea mfano wa maisha yake mwenyewe, akieleza kuwa binafsi akiamua anaweza kuonesha ufahari katika maisha yake lakini hataki kufanya hivyo kama anavyofunguka mwenyewe hapa.