Cyril
Amesema lengo la kufanya ni ili kuuweka muziki wake katika ramani ya soko la muziki Afrika.
Cyril amesema kuwa, ziara yake ya hivi karibuni katika nchi za Uganda na Kenya, imemkutanisha na wadau wakubwa wa muziki ambao aliwapatia nafasi ya kusikiliza kazi hii, na kuipitisha kama kazi ambayo inaweza kuleta mtikisiko katika chati za muziki Afrika Mashariki.
Hapa Cyril Kamikaze anazungumza juu ya mpango huu;





