Thursday , 25th Jun , 2015

Black Rhyno, star wa muziki wa Bongofleva ambaye amerejea kwa nguvu kubwa katika game ya muziki Bongo, ameweka wazi nguvu kubwa aliyotumia kuunganisha vipaji katika sanaa ya michano, project yake mpya ikikutanisha kipaji vikubwa kabisa Afrika.

Black Rhino

Project hiyo, We Get it On ikiwa na bajeti nzito kabisa ya dola 13,000 Black Rhino amesema kuwa kazi hii imekuwa ni tofauti kuanzia mastaa aliowashirikisha ndani yake na timu ya utayarishaji wa kimataifa aliyotumia.