msanii wa muziki wa bongofleva Bee Man
Chini ya utayarishaji wa Prodyuza John B, ngoma hii ndani yake ina wakali kama vile Ben Pol, J Deal, Dullayo, Banana Zorro, Steve R&B, Jordan pamoja na Mkali Wyre kutoka Kenya.

Projekti kubwa kabisa ya ngoma ya Embedodo remix kutoka kwa msanii Bee Man wa lebo ya The Love Child, imetoka rasmi leo ikiwa inawaleta pamoja mastaa 7 wanaoishikilia vizuri game ya Bongofleva kwa sasa.