msanii Bee Man akiwa na Wyre aka The Love Child
Bee Man amesema kuwa, ana mikataba miwili ya usimamizi akiwa chini ya Grand masters kama kundi la wanamuziki, na akiwa kama Solo artist chini ya lebo ya Grand Masters.

Msanii wa muziki Bee Man akiwa chini ya lebo ya Love Child ya msanii Wyre kutoka nchini Kenya, amefafanua kuwa kazi anazofanya hapa Tanzania ni kupitia wakala wa lebo hiyo akiwepo prodyuza John B kutoka Grand masters Arusha.