Mh Godfrey Mngereza
ENewz imeamua kumtafuta Katibu Mtendaji wa BASATA ambaye leo anaweka wazi kuwa jukumu la kuifungia rekodi hiyo wanalirudisha kwa vyombo vya habari.
Akizungumza na eNewz ofisini kwake, Katibu Mtendaji Mhe. Godfrey Mngereza amenyoosha maelezo yake kama ambavyo tumefanya mahojiano naye hapa.
Katika kulitazama kwa upana hili, eNewz tukacheki na mkuu wa Idara ya muziki kutoka EATV na East Africa Radio, DJ Bigman Kim ambaye ametoa tathmini hii kwa rekodi hiyo.