
Baraka Kushoto kulia ni Ben Pol
Baraka amesema hayo kupitia ukurasa wake wa kijamii Istagram huku akilalamika kwa kusema hakutegemea kuona kazi hiyo kwa jinsi alivyojitoa msanii huyo kwa kuweka picha zenye utata katika mitandao na kuwafanya watu kuwa na shauku kubwa kujua ni jambo lilipelekea vile.
"Nimekuwa 'disappointed' sana huu wimbo...Kwa jamaa alivyojitoa nilidhani ni kitu kikubwa kumbe upumbavu..'Save our music".Ameandika Baraka
Ujumbe wa baraka aliomchana Ben Pol