Thursday , 6th Aug , 2015

Msanii wa Bongofleva AT hivi sasa amejiandaa kurudi na ladha mpya katika wimbo wake anaotarajia kuachia hivi karibuni alioubatiza jina 'Mama Mia' wimbo ambao anaupenda zaidi kuusikiliza kila wakati.

Msanii wa Bongofleva AT

AT ambaye hivi sasa amepanga kuachia video ya wimbo wake Sijazoea RMX, ameiambia eNewz kuwa licha ya kuanza matayarisho ya kushoot video hiyo bado kuna kazi zingine mpya huku pia hakuacha kusihi vijana kufanya maamuzi sahihi ya kumchagua kiongozi bora atakayeweza kuiongoza vyema nchi.