
mbunifu wa mavazi nchini Tanzania Asia Idarious
Asia ameiambia eNewz kuwa, mbali na mitindo yake hii ya Khanga ambayo asili yake ni hapa Tanzania, kwa sehemu kubwa ya ubunifu wake amejikita huko, hii inakuwa ni nafasi nyingine ya kuibua vipaji vipya vya wabunifu na kukuza tasnia ya mitindo hapa nyumbani.
