
Donald Trump
Hali hiyo inakuja baada ya ushindi wa Donald Trump ambao unatarajiwa utaleta mabadiliko katika sekta za biashara na ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili.
Mauzo ya hisa katika masoko ya FrunkFurt na Paris yameshuka kwa asilimia 1 huku wakati masoko ya Japan yakionesha kupanda kwa asilimia 6.7