Makamu wa Rais akiagana na baadhi ya viongozi waliomsindikiza katika uwanja wa ndege wa Dar es Salaam
Mkutano huo ujadili masuala mbalimbali ya wanawake duniani na kuandaa ripoti ambayo baadaye itawasilishwa katika Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani mwezi Marchi mwaka huu mjini New York, Marekani.
Katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ameagwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.