Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Njaa yatajwa kumkimbiza Mtulia CUF

Wednesday , 6th Dec , 2017

Katibu Mwenezi wa CHADEMA Wilaya ya Kinondoni George Mwingila amepinga vikali sababu zilizotolewa na aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia na kusema hazina ukweli wowote bali akubali kuwa njaa zake ndizo zilizomkimbiza CCM.

Akizungumza leo na Wanahabari Mwingila amesema kwamba Mtulia kuhama CUF ambayo ipo chini ya mwamvuli wa UKAWA kwa madai anakubali kazi rais anayofanya, ni uongo mtupu kwani angeweza kumuunga mkono rais akiwa ndani ya chama chake na siyo kuhama.

"Kwenye ilani yetu ya uchaguzi tuliyoinadi 2015 hapakuwa na ajenda ya kubomolea watu nyumba zao na wala hatukuwa na ajenda ya kununua wanachama wa upinzani wala viongozi wake. Sasa uakuja unasema kwamba unamuunga rais na Chama chake mkono  kwa nini usiseme wazi tu kwamba ni njaa zako. Kama kweli unamuunga Rais mkono kwa nini usimuunge bila kuhama. Mwingila

Ameongeza kwamba "Mbona hata ndani ya Chadema wapo wanaomuunga rais mkono kwa baadhi ya mambo na hata ndani ya CCM wapo wanaotuunga CHADEMA pamoja na Mh. Lowassa mkono mbona wao hawaahami?  Ukweli ni kwamba umefanya usaliti kwa sababu ya njaa.

Mbali na hayo Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kinondoni amesema alichokifanya Mtulia ni Usaliti wa hali ya juu na asubiri mshahara wa dhambi hiyo hapa hapa duniani kabla hajaonja mauti.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine