Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mkuu wa upelelezi auawa kwa risasi

Wednesday , 22nd Feb , 2017

Watu watatu wameuawa katika tukio la kiuhalifu akiwamo mkuu wa upelelezi wilaya Kibiti mkoani Pwani

Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa wilaya ya Kibiti, mkoa wa Pwani, Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Peter Kubezya wakati wa uhai wake.

Tukio hilo lilitokea jana saa moja usiku  katika kizuizi cha kutoza ushuru wa mazao ya misitu eneo la Jaribu Mpakani wilayani Kibiti mkoani Pwani.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ambapo watu wanne wenye silaha walivamia katika kituo hicho na kuwaua wafanyakazi wawili ambao ni  Rashid Mgamba, mlinzi wa kituo hicho,  na Afisa uvuvi Peter James .

Watu hao pia walimuua kwa kumpiga risasi tumboni mkuu wa upelelezi wilaya ya Kibiti ASP Peter Kubezya , ambaye alikuwa amefika kusaidia akiwa katika opereshen maalumu.

Mara baada ya tukio hilo watu hao  walikimbia na kutelekeza piki piki zao mbili pia  waliacha kipeperushi kinachosomeka kuwa  kupinga uwepo wa kizuizi cha kutoza mazao ya misitu ikiwemo mkaa kwani walidai ni kudhulumu wananchi wabeba mkaa.

Huyu hapa Waziri Mwigulu akizungumza na wakazi wa eneo hilo.......

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine