Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kairuki asema siyo rahisi

Wednesday , 11th Oct , 2017

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki amesema uhakiki wa vyeti ni changamoto aliyokumbana nayo alipokuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na hataweza kuisahau ingawa anashukuru jinsi alivyopata ushirikiano.

Mh. Kairuki amesema hayo leo wakati wa kukabidhi ofisi kwa Waziri mpya wa Utumishi  George Mkuchika aliyeteuliwa na kuapishwa mwanzoni mwa wiki hii ambapo amesena kwamba japo kazi hiyo ya changamoto ilichukua muda mrefu hadi kufikia kuwakatisha tamaa watumishi wa umma lakini aliimaliza vizuri.

"Nchi kama vile Afrika Kusini, India na Pakistan walifanya jambo kama hili kwa awamu mpaka nne  na bado hawajamaliza, lakini sisi tumelifanya kwa jumla ingawa  imechukuwa muda mrefu mpaka watumishi wakaanza kukasirika na haikuwa kazi nyepesi," amesema.

Pamoja na chanmgamoto hiyo Kairuki amesema baadhi ya watendaji alioshirikiana nao hawakuwa waaminifu ambao walipenyeza watu wasiokuwa na sifa jambo ambalo amemtaka Waziri Mkuchika kupambana nao ipasavyo.

Aidha ameongeza kwamba suala la maslahi ya watumishi wa umma lilikuwa changamoto nyingine kwa sababu serikali inatamani kuyaboresha lakini fedha inayokusanywa haikidhi mahitaji.

Mbali na hayo amewatoa shaka watumishi ambao hawajapandishwa madaraja akifafanua kwamba  fedha kwa ajili watumishi zaidi ya 163,000 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza suala hilo la maboresho.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine