Msemaji wa majeshi ya Kenya Kanali David Obonyo amesema wapiganaji hao walivamia kambi hiyo na wakawazidi wanajeshi wa jeshi la Somalia waliokuwa ndani
Kambi hiyo ya Eel-Ade inapatikana takriban kilomita 60 kutoka kwa mji wa Garbaharey, katika jimbo la Gedo na inatumiwa na majeshi ya Kenya.
Idadi ya waliofariki pamoja na majeruhi bado haijabainika kwa sasa.Majeshi hayo yamo chini ya majeshi ya kulinda amani ya Muungano wa Afrika (Amisom).
Chanzo BBC





