Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

“Tanesco imefilisika”- Ester Bulaya

Thursday , 24th May , 2018

Mbunge wa Bunda mjini (CHADEMA) Ester Bulaya amesema Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limefirisika kutokana na mzigo mkubwa wa madeni ambayo yanaongezeka kila baada ya mwaka na hivyo kupelekea shirika hilo kujiendesha kihasara.

Mbunge huyo amesema hayo leo Mei 24, 2018, Bungeni Jijini Dodoma wakati wa kuchangia hoja Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2018/2019 na kusema kuwa kwa mujibu wa ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali deni hilo limeongezeka kwa asilimia 23 mpaka kufikia mwaka 2015.

Ukiangalia ripoti ya CAG imesema kabisa madeni hayana uwiano kati ya mali za shirika la TANESCO na madeni, kwa namna nyingine TANESCO imefirisika, hili shirika ni wakati muafaka sasa likagawanywa yakawa mashirika mawili likawa linadeal masula ya uendeshaji na uzalishaji, Dunia nzima inafanya (hivyo)” amesema Bulaya

Bulaya ameongeza kwamba kama serikali ina lengo la kujenga Tanzania ya viwanda basi viongozi wanapaswa kuandaa mipango mizuri ya uzalishaji na usambazaji wa umeme nchini.

Bunge kwa sasa linachangia hoja mjadala wa Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2018/2019 na Waziri Dkt. Medadi Kalemani ameomba wabunge kuizinisha jumla ya shilingi trilioni 1.69 ambapo shilingi trilioni 1.66 kwa ajili ya miradi ya maendeleo na bilioni 27.1 kwa ajili ya matumizi ya kawaida.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine