Esther Sanga na Frank Sanga
Habari yako kaka nyalifa, Niite esta Sanga Wa morogoro au mama Shedrack Nikiwa na Kaka yangu Frank Sanga wa Morogoro, Sikosi kutazama enewz ya Dominic Nyalifa mzee wa Zzzzzzzzzz, Napenda kutoa Halla 5 kwa mama yangu kipenzi Yusta Nziku.