Mab Carl with sister Diana Disuzo
Hi East Africa its me mab carl with my sister diana disuzo from mbagala mwana mtoti ,holla 5 kwa rafiki zangu toka pamb sec school mwanza rock city akiwemo clinton salawati, William bitulo , nawaambia wapende kutazama east africa television.
Ima Sadala
Ni Imma Sadala toka WAZAWA UNIT Dodoma Vipo vya kukosa lakini sio kuikosa ENewz ya EATV.
Mohamed kachuru
Mwendo mperampera Niite Mohamed kachuru nipo na mchizi wangu wakuitwa Jamali selemba tokea pande flani za temeke Tumetokelezea Ile kinouma noumaaa halla5.