Submitted by Telesphory on Monday , 6th Oct , 2014
Kombe la Dance100% 2014
Mtangazaji T-Bway akiwa pamoja na Baadhi ya mashabiki waliojitikeza kushuhudia mashindano ya Dance100% katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay
Mtangazaji T-Bway akiwa pamoja na Baadhi ya mashabiki waliojitikeza kushuhudia mashindano ya Dance100% katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay
Mtangazaji Meninah Atick akiwa pamoja na Baadhi ya mashabiki waliojitikeza kushuhudia mashindano ya Dance100% katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay
Mtangazaji T-Bway akiwa pamoja na Baadhi ya mashabiki waliojitikeza kushuhudia mashindano ya Dance100% katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay
Watangazaji wa mashindano ya Dance100% 2014 T-Bway na Meninah Atick
Majaji wa Mashindano ya Dance100% Hassan Nyamwela maarufu kama "Super Nyamwela" na Lotus Kyamba wakionesha uwezo wao wa kudansi wakati wanaingia viwanjani kwa ajili ya kuanza mashindano hayo katika hatua ya Fainali yaliyofanyika Don Bosco Oysterbay.
Mmoja wa Majaji wa mashindano ya Dance100% 2014 Queen Darleen akiangalia kwa makini burudani ya kudansi iliyokua ikitolewa na Majaji wenzake
Majaji wa Mashindano ya Dance100% Hassan Nyamwela maarufu kama "Super Nyamwela" na Lotus Kyamba wakionesha uwezo wao wa kudansi wakati wanaingia viwanjani kwa ajili ya kuanza mashindano hayo katika hatua ya Fainali yaliyofanyika Don Bosco Oysterbay.
Mwanamuziki ambae ni madansa maarufu nchini Tanzania Msami akionesha makeke yake pamoja na dansa wake katika mashindano ya Fainali ya Dance100%, Mashindano yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bocso Oysterbay.
Mwanamuziki Msami akionesha makeke yake pamoja na dansa wake katika mashindano ya Fainali ya Dance100%, Mashindano yaliyodhaminiwa na Vodacom Tanzania yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bocso Oysterbay.
Kombe La mashindano ya Dance100% 2014
Mwanamuziki Msami akitumbuiza kwa pamoja na kundi la Wazawa Crew kabla ya mashindano ya Dance100% kwenye hatua ya Fainali kuanza.
Mwanamuziki Msami akitumbuiza kwa pamoja nabaadhi ya madansa wa kundi la The Winners kabla ya mashindano ya Dance100% kwenye hatua ya Fainali kuanza.
Mwanamuziki Msami akitumbuiza kwa pamoja nabaadhi ya madansa wa kundi la The W-T kabla ya mashindano ya Dance100% kwenye hatua ya Fainali kuanza.
Mwanamuziki Msami akitumbuiza kwa pamoja nabaadhi ya madansa wa kundi la The Wakali Sisi kabla ya mashindano ya Dance100% kwenye hatua ya Fainali kuanza.
Mwanamuziki Msami akitumbuiza kwa pamoja nabaadhi ya madansa wa kundi la The Wakali Sisi kabla ya mashindano ya Dance100% kwenye hatua ya Fainali kuanza.
Msami akiwa na dansa wake wakitumbuiza katika mashindano ya Dance100% hatua ya Fainali yalifanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam, mashindano yanadhaminiwa na Vodacom Tanzania na kinyaji rasmi kikiwa ni Grand Malt.
Msami akiwa na dansa wake wakicheza kwa pamoja na baadhi ya madansa wa kundi la Best Boys Crew katika mshindano ya Dance100% hatua ya Fainali kabla ya mshindano hayo kuanza.
The Winners Kundi lilianza kutupa karata yake kwenye mashindano ya Dance100% hatua ya Fainali wakionesha ubunifu wao wa kudansi ili kujinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Wazawa Crew
Wazaw Crew
Kundi la The W-T likionesha mbwembwe zao katika mashindano ya Dance100% hatua ya Fainali
Mmoja wa madansa wa kundi la Wakali Sisi akiwa kapozi ili kuanza kuonesha ubunifu wao wa kudansi katika mashindaqno ya Dance100% hatua ya Fainali yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay
kundi la Wakali Sisi likionesha ubunifu wao wa kudansi katika mashindaqno ya Dance100% hatua ya Fainali yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay
Kundi la Wakali Sisi likionesha ubunifu wao wa kudansi katika mashindaqno ya Dance100% hatua ya Fainali yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay
Mmoja wa madansa wa kundi la Wakali Sisi akiwa kapozi la kuonesha manjonjo yao ya kudansi.
Best Boys Crew
Best Boys Crew
Mtangazaji wa mashindano ya Dance100% akizungumza na mmoja wa mashabiki katika mashindano hayo baada ya round ya kwanza ya hatua ya fainali kumalizika.
The Winners kwenye wakionesha uwezo wao kwa mara ya pili kwenye mashindano ya Dance100% hatua ya Fainali
The Winners kwenye wakionesha uwezo wao kwa mara ya pili kwenye mashindano ya Dance100% hatua ya Fainali
Kombe la Dance100%
Wazawa Crew katika round ya pili hatua ya Fainali mashindano ya Dance100%
The W-T wakiwa katika round yao ya pili hatua ya Fainali
Kundi la Wakali Sisi wakiwa kwenye round yao ya pili katika hatua ya Fainali ya Mashindano ya Dance100%
Msanii wa muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) Mesen Selekta (mwenye kofia) akiwa pamoja na mwenzake wakitumbuiza kwenye Mashindano ya Dance100% hatua ya Fainali yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay
Afisa Matukio wa Basata, Kurwijira Maregesi akiwa tayari kutaja mshindi wa tatu wa mashindano ya Dance100%
Afisa Matukio wa Basata, Kurwijira Maregesi akiwakabidhi hundi washindi wa tatu wa mashindindano ya Dance100% 2014 Wazawa Crew hundi yenye thamani ya shilingi laki Tano.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu akiwa tayari kuwataja washindi wa mashindano ya Dance100% 2014
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akitaniana na kiongozi wa kundi la”Wakali sisi”la kiwalani jijini Dar es Salaam,Baraka Kambona(kushoto)alipokuwa akikabidhi hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 5.
Washindi wa shindano la Dance 100% 2014 kundi la wakali sisi wakiwa kwenye picha ya pamoja na majaji wa shindano hilo na Ofisa matukio wa Basata Kurwijira Magesa (kushoto)pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu