Submitted by Anonymous on Wednesday , 2nd Dec , 2015 Washiriki wa mashindano ya Mbuzi wakisherekea mashindano hayo kwa kuvaa mavazi ya Kihindi. Watu wakionyesha ubunifu vipaji vyao vya ubunifu kwenye vazi la kihindi. Wakimbizaji Mbuzi wakiwaweka Mbuzi tayari kwa kuanza mashindano. Mmoja wa wanakamati ya maandalizi ya mashindano ya Mbuzi akiwa amependeza kwenye vazi lake la kihindi. Hiki ndio kiwanja cha mbio za Mbuzi mwaka 2015. Wakimbiza Mbuzi wakiwa kwenye harakati za kukimbiza Mbuzi. Baadhi ya washiriki wa mbio za Mbuzi wakionyesha manjonjo yao waki wa mashindano. Wafanyakazi kutoka makampuni mbalimbali wakijitokeza kuchangia hela katika mashindano ya mbio za Mbuzi mwaka 2015.