Together Tunawakilisha
Home

YOU ARE NOT LOGGED IN
  • Login
  • or
  • Sign Up
  • Dashboard
  • Logout
  • Home
  • Shows
  • News
    • Currrent Affairs
    • Entertainment
    • Sport
    • Business
    • Life & Style
  • Gallery
  • Schedule
  • Namthamini

Black Sensation 2013

You are here

  1. Gallery
Submitted by Anonymous on Wednesday , 19th Mar , 2014
Uwanja Wa Hoteli ya sea cliff ukiwa tayari kwa ajili ya tamasha la black sensation November 2013.
Msanii wa kundi la Liquid deep akifanya matayarisho kwa ajili ya shoo yake.
Dj Mkali wa miondoko ya Afro house wa kundi la liquid deep akifanya matayarisho ya shoo.
Dj akichangamsha mashabiki kabla wakali liquid deep na micasa hawajapanda stejini.
Muimbaji wa kundi la liquid deep akitumbuiza katika viwanja vya Sea cliff.
Liquid deep wakiimba nyimbo zenye hisia kwa mashabiki wake.
Msanii na muimbaji J Something wa kundi maarufu la Micasa akiburudisha mashabiki jukwaani.
Bendi ya Micasa ilipoungana kutoa burudani mwanana.
Mashabiki mbalimbali waliofika kushuhudia tamasha la Micasa na Liquideep.
Mcheza tarumbeta maarufu wa kundi la Micasa akionyesha kufurahia kifaa chake cha kazi.
Msaani J something wa Micasa Akiwaonyesha mashabiki jinsi ya kucheza nyimbo yake maarufu ya "Jica"
Micasa wakikata mauno stejini na kupagawisha umati wa mashabiki.
Msanii J something akipozi na mwenyeji wake wa Black sensation Kabla ya kupanda jukwaani.
Dj akionyesha ufundi wake wa vyombo vya muziki.
Msanii J something akiwaonyesha mashabiki wake kwamba ana kipaji zaidi ya sauti ya kuimba.
MO.T akitumbuiza na Tarumbeta lake stejini huju na kutumbuiza umati uliofika kuwashuhudia.
Mashabiki wakicheza kwa furaha nyimbo maarufu za wasanii Micasa na liquid Deep.

Recent Gallery

EATV JOGGING
EATV KINARA 2023
WASHINDI NA ZAWADI
FAINALI GAME 3 (Best of 5) Mchenga Bingwa 2019
Fainali Game 2 (Best of 5)
Fainali Game 1 (Best of 5)

TOP STORIES

Uwanja wa Amaan Zanzibar

Sport
Berkane wathibitisha fainali kupigwa Z'Bar

Magari yaliyokwama barabarani

Current Affairs
Magari yakwamba Bukoba ubovu wa barabara

Carlo Ancelotti na Kaka

Sport
Ancelotti amtaka Kaka kwenye benchi la Brazil

Meneja wa habari na mawasiliano Simba - Ahmed Ally

Sport
Wasubiri Mpanzu azeeke ndiyo wamchukue - Ahmed

MOST POPULAR

Dance 100% 2013
Kili Music Tour Songea yavunja rekodi
Tamasha la Kili Music Tour 2014 mjini Moshi
Tamasha la Kili Music Tour 2014 ndani ya Kahama
KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014 -IRINGA

ABOUT US

  • About us
  • Advertise
  • Jobs
  • Terms & Conditions
  • Contact Us
  • Frequently Asked Questions

Network

  • IPP MEDIA
  • EAST AFRICA RADIO
  • ITV
  • RADIO ONE
  • CAPITAL RADIO
  • LOKOPROMO

©  East Africa Television Limited. All Rights Reserved

  • Main menu
    • Home
    • Shows
    • News
      • Currrent Affairs
      • Entertainment
      • Sport
      • Business
      • Life & Style
    • Gallery
    • Schedule
      • Awards
      • BBALLKINGS
      • Dance100
    • Namthamini
  • Search
  • Main menu
    • Home
    • Shows
    • News
      • Currrent Affairs
      • Entertainment
      • Sport
      • Business
      • Life & Style
    • Gallery
    • Schedule
      • Awards
      • BBALLKINGS
      • Dance100
    • Namthamini
  • Search