Submitted by Telesphory on Tuesday , 23rd Aug , 2016 Mwendeshaji wa tamasha la 5SELEKT, T-Bway akiamsha morari wa wanafunzi wa shule ya sekondari Kisota kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 12mwezi huu . Wanafunzi wa shule ya Sekondari Kisota wakifurahia tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu. Mwendeshaji wa tamasha la 5SELEKT, ajulikanae kwa jina la Shimee akikiwasha katika tamasha la 5SELEKT lililofanyika shule ya sekondari Kisota iliyopo Kigamboni, siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu. Waendeshaji wa tamasha la 5SELEKT, T-Bway na Shimee wakishindanisha wanafunzi wawili ambapo kila mmoja kati yao akishabikiwa na mmoja kati ya waeneshaji hao katika tamasha la 5SELEKT lililofanyika shule ya Sekondari Kisota iliyopo Kigamboni, siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu. Mwanafunzi wa shule ya sekondari Kisota iliyopo Kigamboni, akicheza nyimbo hiitwayo Singeli kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu. Mwanafunzi wa shule ya sekondari Kisota iliyopo Kigamboni, akicheza nyimbo hiitwayo Singeli kwenye tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu. Msanii wa bongo freva ajulikanae kwa jina la Belle 9, akiwapa burudani wanafunzi wa shule ya sekondari Kisota iliyopo Kigamboni, katika tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Kisota iliyopo Kigamboni, wakifurahia tamasha la 5SELEKT kwa kucheza nyimbo ambazo zilikua zinapigwa kwenye tamasha hilo lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu. Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Kisota iliyopo Kigamboni, wakifurahia tamasha la 5SELEKT lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu. Waendeshaji wa tamasha la 5SELEKT, T-Bway na Shimee wakikonga mioyo ya wanafunzi wa shule ya sekondari Kisota iliyopo Kigamboni, katika tamasha hilo lililofanyika shuleni hapo siku ya ijumaa ya tarehe 12 mwezi huu.