Ze Comedy
Kanjibhai
Kanjibhai zaua utata wa shs 500 ya wizi wa mfuko wa sementi uliouzwa kwa shs.11500 licha ya kukabidhiwa elfu 11.
Mazuzu
Mazuzu wachukua machangudoa lakini wagoma kuwaachia wakidai wamewanunua moja kwa moja
Magumashi
Mzee wa Magumashi aenda ubalozi wa India kulalamikia mapunjo ya yake ya NSSF
Habari ya Mjini
Kutana na Njemba ambaye kila akinunua kitu anaambiwa kesha lipiwa
Ndani ya Jamii
Je, ulishawahi kutanana na machizi wakiongea pamoja hii hapa