Current news
Iangalie hii, pale mfanya maovu anapojisifia kuwa maovu yake ni mazuri, bila kujua boss wake anamsikia..
Mluga luga na mazuzu
Hawa hapa tena, mazuzu na mlugaluga, ambapo mlugaluga anamshobokea mama Solomonii na kumlipia chips bila kujua mama Solomonii amekuja na nani..
Current news
Katika kufanya kazi na kuonekana kweli unafanya kazi, baadhi ya viongozi wa serikali wamegundua mbinu ya kutaka kuonekana na wakuu wao kuwa wanafanya kazi