Sehemu ya 1
Asha Abbas kijana ambaye ni mtaalam wa tovuti akielezea uwezo wake
Sehemu ya 2
Vijana ambao ni wataalam wa tovuti wakifafanua biashara ya mtandao jinsi inavyokuwa na kuleta kipato
Sehemu 3
'Teknolojia kila siku inakuwa haizami' Kijana huyu akilezea jinsi wanavyoitumia teknolojia ili iwaingizie kipato