Mtaa kwa mtaa
Huyu hapa ni mmoja kati ya wakazi wa mwananyamala ujiji, akikiri wazi ya kuwa hawatoi msaada wowote kwa watu wenye vipaji mtaani kwao.
salaam
Huku kwetu uswahilini ubishi ni kawaida sanaa.. cheki na hawa jamaa, ambao walikuwa wanabishana kuwa 'tattoo inafutika mwilini au haifutiki'?
uswazi.com
Anaitwa Tall, kipaji matata cha muziki wa hip hop, anatokea huku kwetu uswahilini mitaa ya Mwananyamala ujiji, anakujaaa.. waliotangulia wajipange. mtizane akifanya yake.