Hawa hapa vijana na wakazi wa keko machungwa, wakijibu swali linalosema 'pamoja na umuhimu wa mazoezi, je kujazia mwili kuna faida gani?
Kila mtaa na tamaduni zake, keko ni moja kati ya mitaa ambayo vijana wake wengi sana wanacheza mchezo wa ngumi.. hizi ni salaam kwa wanaotaka kuwekeza kwenye mchezo huu wa ngumi.
Hizi ndizo gym zetu za uswahilini, lakini swali, ni je..kwenda gym siku hizi ni ushababi au wanataka kujaza mwili ili wavutie warembo? wakazi wa keko wamelijibu hili.