Mtaa kwa mtaa
Unaambiwa Guest wanaweka ndala zilizochakaa kwa sababu zinaibiwa, huyu hapa mswazi ambae alikua amevaa ndala za guest..
Salaam
Kuna baadhi ya watu wamesomeshwa kwa pesa ambayo imepatikana kwa kuuza gongo japokuwa ni pombe halamu, huyu hapa mama anaulizwa, mtaji wa shilingi ngapi akipata ataachana na uuzaji wa gongo.
Uswazi.com
Huyu hapa mmoja kati ya wanywaji wa pombe aina ya gongo, akielezea madhara ya upatikanaji wa vilabu vya pombe katikati ya makazi ya watu.