Mtaa kwa mtaa
Bwana Kivumbi, mtaalam wa kupika pilau kwenye sherehe mbalimbali, akielezea imani za watu wanaosema kuwa kwenye mapishi ya shughuli huwa kunahusishwa na imani za kishirikina.
Uswazi.com
Je? ulikuwa unajua kuwa mafuta ya kupikia yanatumika kuzuia moshi usiharibu sufuria? hapa Kivumbi anaelezea jinsi mafuta hayo yanavyotumika na faida ya kufanya hivyo.
Salaam
Mwalimu Chiku, ni mwalimu wa shule yenye wanafunzi wenye mahitaji maalum (walemavu wa akili) hapa anawasisitiza wazazi kutowaficha ndani watoto wenye ulemavu kwa sababu wana uwezo mzuri wakiwa darasani.