FAHARI YA NYUMBA
Zifahamu mipangilio mbalimbali ambayo wabunifu wa ndani anaweza kukubuninia ndani ya jiko au bafu lako.
SITE
Kuna vitu vingi wabunifu wa majengo wanazingatia wakati wa kusanifu majengo. Moja kuu kati ya haya ni kuangalia mwelekeo wa jua pamoja na upepo ndipo anapoweza kufanya kazi yake ya kisanifu vizuri.
SITE
Msafu majengo anapopata tenda anahakikisha amefika katika eneo husika ambalo nyumba ndipo itakapojengwa. Baada ya hapo hatua zingine za kibunifu zitafuata.