SITE
Emmanuel Dotto mkadiriaji majenzi, anasema kuwa kwa yeyote anayetaka kujenga nyumba lazima awe na bajeti. zaidi ya hapo ili bajeti yako iweze kukamilisha ujenzi ni lazima uwatumie watalamu wa ujenzi.
SITE
Kwenye ujenzi wa nyumba kuna hatua kama tatu hivi kama una kipato chako ni kidogo. hatua ya kwanza ni msingi, kupandisha kuta pamoja na kupaua na umaliziaji. hatua zote hizi lazima zihakikiwe na watalamu wa ujenzi.
Fahari ya Nyumba
Katika kubuni maporomoko ya maji upenuni mwa nyumba yako ni lazima kwa mtaalamu kumshirikisha mwenye nyumba ili kupata mawazo yake kuhusiana na sehemu ya kujenga.