SITE
Ujenzi Mtaalam anaposanifu majengo ni lazima azingatie vitu vingi katika kusanifu majengo. Vitu hivyo ni kama uelekeo wa upepo muda mwingi pamoja na linakotokea jua na linakozamia. hapo sasa mtaalamu anaweza kuweka utaratibu mzuri wa vyumba
SITE
Hata vivyo ni lazima watanzania wawatumie watalam ili nyumba zao ziweze kuwa na sifa zote za kisanifu majenzi
Fahari ya Nyumba
Uchaguzi sahihi wa samani za ndani ni upi? katika kipindi cha ujenzi kupitia kwa Jasphael, muuzaji wa samani za ndani. Atakuelezea kinaga ubaga kuhusia na uchaguzi sahihi wa samani.