Kimbweta
Anaitwa Mfaume ambaye ni mwanafunzi kutoka Manzese Sec. akielezea njia za kutunza mazingira.
Tokelezea
Mambo ya 'fashooon' pale wanafunzi wa Manzese Sekondari wakijiachia
Q and A
Moja kati ya swali ambalo mwanafunzi huyu kutoka Manzese Sekondari alishindwa kujibu, adhabu yake ikawa kukuna kidevu.