Kimbweta
Wanafunzi wa Kisukuru Regent wakijadili kwenye kimbweta kuhusiana na changamoto ambazo wanakumbana nazo wakati wa mitihani
Tokelezea
Huyu mwanafunzi wa Kisukuru regent yeye alitokelezea akionesha ujuzi wa kuuchezea mpira.
Q and A
Hapa mwanafunzi huyu alitamani akimbie, baada ya kumuona Kevoo