NJE YA BOX
Mwanamuziki linnah Sanga amesisitiza kwa sasa hana uja uzito japo kwa sasa amesema anatafuta ujauzito kwa hali na mali.
KITENGO
Msanii Mkali wa RnB 'BELLE 9' amekubali kwa sasa ana watoto wawili na amesema hapendi sana watoto wake kuwaweka kwenye mitandao yakijamii.
KICHUPA
Msanii Rummy kaachia video yake 'KAZENGUA'