Ney Lee
Msanii wa kike wa rap hapa Tanzania Ney Lee akionesha ujuzi wake wa kufokafoka kwenye microphone alipokuja kutambulisha video yake mpya.
Salma msanii wa kike ambaye si mara ya kwanza kuonekana FNL ila wiki hii aja na style mpya ambayo inatumiwa na wasanii kama vile Snura na Shaa.
Country Boy
Country Boy ingawa bado anachipukia lakini anaonesha kwamba miaka kumi ijayo atakuwa 'the next' Ngwair.