Rapper one akifanya freestyle ya kufa mtu huku pembeni Sam Misago na msanii Amini wakikubali kazi yake, yote hayo Ijumaa ndani ya FNL
Kantangaze
Wale wadada wanaokimbiza mjini kwasasa na 'single' yao ya 'Kantangaze' walizindua wimbo huo kwa mara ya kwanza kwenye club yetu namba moja mjini Friday Night Live
Meninah
Mrembo Meninah akitumbuiza wimbo wake wa 'Kukopi na Kupaste' wiki iliyopita kwenye Friday Night Live
Je unadhani anaweza kumiliki Jukwaa?