Zengwe
Mashindano ya taifa ya riadha...wakimbiaji wakimbia peku peku. Waumia kwenye tatani, huduma ya kwanza hawawajibiki.
Vumbua
Bondia ThomAs Mashali amchimba mkwara mzito Mada Maugo. Kupigana tarehe Nane mwezi wa Nane mwaka huu.
Ripoti
Mashindano ya taifa ya riadha yaja na mbwembwe za aina yake. Waandaaji waweka kifaa cha kupima upepo.