Gambo asema ni aibu jiji la Arusha kukosa stendi

Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, akizungumza bungeni leo

Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amehoji serikali kuhusu ucheleweshaji wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya Jiji la Arusha, akitaka ufafanuzi juu ya sababu za kuchelewa kumpata mkandarasi licha ya ahadi zilizotolewa mara kadhaa bungeni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS