Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara Mwili wa marehemu, Patric Francis, umekutwa unaning'inia ndani ya banda la mbuzi nyumbani kwao, alipokuwa akiishi na wazaazi wake. Read more about Ajiua kwa kujinyonga kwenye banda la mbuzi Manyara