MO Salah apigwe benchi-Jamie Carragher
Beki wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amesema kuwa, Mohamed Salah hapaswi kuanza katika kikosi cha kwanza, zaidi anapaswa kukaa benchi kama mchezaji wa akiba kutokana na kiwango chake duni anachokionesha kwa sasa.

