Rais Samia: "Tunataka Kujua kiini cha Tatizo"
Katika hatua muhimu ya kuelekea upatanishi na uwazi wa kitaifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi Tume Maalum ya Kuchunguza Ghasia na Vurugu zilizojitokeza nchini kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

