Gabriel bado yupo sana Arsenal Mlinzi wa kati, Gabriel Magalhaes amesaini mkataba mpya na Arsenal hadi 2029. Raia huyo wa Brazil ameongeza miaka miwili kwenye mkataba wake wa sasa, ambao ulikuwa unafika ukomo 2027. Read more about Gabriel bado yupo sana Arsenal