Polisi Kilimanjaro waipa tuzo EATV/ EA Radio
Akikabidhi cheti hicho kwa niaba ya kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro afisa Mnadhimu wa jeshi la Polisi mkoa Kamishna Msaidizi Abel Mtagwa, amekipongeza kituo hicho kwa mchango wake mkubwa katika kuripoti taarifa sahihi kuhusu usalama barabarani.

