Mirambo kutoa huduma afya bure kwa wanaojifungua
"Ninashangaa Sana wanawake katika kipindi hiki ndio mnaonekana sana wa maana lakini baada ya uchaguzi mtarudi kuendelea na mateso yenu kama kawaida hivyo nichagueni Mimi Mwajuma nije kubadilisha kabisa hali ya utoaji wa Huduma za Afya hapa nchini"

