Wafungwa/mahabusu kutumia vifaa vya TEHAMA

Akikabidhi vifaa hivyo jana, Oktoba 20, 2025 Mkuu wa mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amesema hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa kupunguza muda na gharama za uendeshaji wa kesi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS