Takaishi na historia ya Waziri Mkuu Mwanamke Japan
Kiongozi huyo wa Chama cha Liberal Democratic Party (LDP), mwenye umri wa miaka 64, ameshinda katika uchaguzi huo uliofanyika mapema leo Oktoba 21, 2025, ikiwa ni jaribio lake la tatu la kuwa Waziri Mkuu.

