Jela miezi tisa kwa kutishia kumuua baba yake
Mageme mwenye umri wa miaka 56 mkazi wa kijiji cha Mwamugesha ameshitakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Itilima kwa kosa la kutishia kuua kwa maneno kinyume na kifungu cha 89(2) (a) na (b) cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2023.

