"Mimi ndio Raila Odinga wa muziki Kenya" - Bahati Picha ya msanii Bahati na Hayati Raila Odinga Mwanamuziki kutoka Kenya Bahati anasema kwenye kiwanda cha muziki wao anajifananisha na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga kwenye siasa ambaye amezikwa siku ya Jumapili. Read more about "Mimi ndio Raila Odinga wa muziki Kenya" - Bahati