7 wafariki wakitoka kutazama tamasha la Simba Day Wakiwa kwenye gari dogo aina ya Probox yenye namba za usajili T.625 DYV katikati ya Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya waligongana na lori hilo na kupoteza maisha. Read more about 7 wafariki wakitoka kutazama tamasha la Simba Day